Marie Chantal Rwakazina

Marie Chantal Rwakazina ni mwanadiplomasia na mwanasiasa wa Rwanda ambaye anahudumu kama balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Uswisi[1][2] na mwakilishi wa kudumu kwa Umoja wa Mataifa.[3][4]

Marie Chantal Rwakazina
Rwanda Joins WIPO's Marrakesh Treaty

Marejeo

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Chantal Rwakazina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.