Unyoya
(Elekezwa kutoka Manyoya)
Unyoya ni unywele ambao hutokea katika mwili wa ndege na wanyama wengine.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/28/Pavo_cristatus_feathers001xx.jpg/220px-Pavo_cristatus_feathers001xx.jpg)
Manyoya yanawafunika na kuwasaidia kutunza joto la mwili. Manyoya pia huwalinda kutokana na majeraha.
Hatimaye katika spishi nyingi za ndege, manyoya huwasaidia kuruka.[1]
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Unyoya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya