Manila
Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la Hori ya Manila. Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8e/Manila_skyline_day.jpg/280px-Manila_skyline_day.jpg)
Jiji la Manila | |
Nchi | Ufilipino |
---|---|
Tovuti: www.manila.gov.ph |
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/12/Ph_seal_ncr_manila.png/80px-Ph_seal_ncr_manila.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e0/Ph_locator_ncr_manila.png/260px-Ph_locator_ncr_manila.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/1f/Ph_map_manila.svg/260px-Ph_map_manila.svg.png)
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia