Luka Božič
Luka Božič (alizaliwa 9 Januari 1991) ni mchezaji mwendesha mtumbwi wa slalom, Kislovenia ambaye ameshindana katika kiwango cha kimataifa tangu mwaka 2006. Alianza kama mwelekezi wa daraja la C2 akishirikiana na Sašo Taljat kwenye mashua hadi tukio la daraja la C2 lilipofika mwaka wa 2017. Tangu mwka 2013 Luka amekuwa akiendesha mtumbwi akiwania kushindana kimataifa katika daraja la C1.[1]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/2a/2019_ICF_Canoe_slalom_World_Championships_124_-_Luka_Bo%C5%BEi%C4%8D.jpg/220px-2019_ICF_Canoe_slalom_World_Championships_124_-_Luka_Bo%C5%BEi%C4%8D.jpg)
Viungo vya Nje
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luka Božič kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia