Lina Hurtig

mchezaji mpira wa sweden

Lina Mona Andréa Hurtig (alizaliwa Septemba 5, 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu Mswidi anayecheza kama mshambuliaji Katika klabu ya Arsenal ya Ligi ya Wanawake(WSL) na pia timu ya taifa ya Uswidi[2]

Mwanasoka Lina Hurtig
Mwanasoka Lina Hurtig akicheza dhidi ya Liverpol mnamo 2023

Marejeo