Leyla Hussein

Leyla Hussein Obe (kwa Kisomali: Leyla Xuseen; alizaliwa huko Somalia mnamo mwaka 1980 [1][2]) ni mwanaharakati wa kijamii na mwanzilishi wa mradi wa Dahlia[3].

Leyla Hussein

Mwaka 2020, Leyla Hussein alichaguliwa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha St Andrews.

Maisha

Wazazi wake walikuwa wataalamu. Hussein baadaye alihamia Uingereza ili kupata elimu yake ya sekondari, alipata stashada ya uzamili ya kwanza katika ushauri wa matibabu kutoka Chuo Kikuu cha Thames Valley.[4] pia ana mtoto mmoja wa kike.[5].

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leyla Hussein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.