Kaisari Leo III

(Elekezwa kutoka Leo III wa Bizanti)

Kaisari Leo III (685 hivi - 18 Juni 741) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 717 hadi 741[1].

Sarafu yenye sura yake.

Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Ostrogorsky, George (1956). History of the Byzantine State. Oxford: Basil Blackwell.
  • Entry of "Leo III" in The Oxford Dictionary of Byzantium, ed. Alexander Kazhdan. New York: Oxford University Press, 1991.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Leo III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.