Lee Kang-in

Lee Kang-in (alizaliwa 19 Februari 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Korea Kusini, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Korea Kusini.[2]

Lee mnamo 2022

Marejeo

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lee Kang-in kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.