Krystal Ball
Mwandishi wa habari wa Marekani na mtangazaji wa TV
Krystal Marie Ball (alizaliwa Novemba 24, 1981) ni mchambuzi wa kisiasa wa nchini Marekani. Hapo awali alikuwa mgombea wa kisiasa, na pia mtangazaji wa televisheni kwenye MSNBC, mchangiaji wa mara kwa mara wa HuffPost na mtangazaji wa zamani wa gazeti la The Hill.[1]
Mnamo Mei 2021, Ball na Enjeti walitangaza kuwa wanaondoka kwenye onyesho ili kuachilia mradi wao binafsi unaoitwa Breaking Points.[2][3] Ball ni muwekezaji pamoja na Kyle Kulinski kwenye podikasti ya Krystal Kyle & Friends. Amefanya maonyesho tofauti tofauti kwenye mitandao kama vile CNN, CNBC, Fox News na programu kama vile Real Time with Bill Maher.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Krystal Ball kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia