Kompyuta bapa
Kompyuta bapa, ni kifaa kinachoweza kubebeka, kwa kawaida ina mfumo wa uendeshaji wa simu na LCD ya ushughulikiaji kwa kugusa kioo chake, ina betri inayoweza kuimarishwa nguvu yake kila inapokuwa imekwisha.
![Kompyuta bapa](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/PCCW_eye2_tablet_computer.jpg/220px-PCCW_eye2_tablet_computer.jpg)
![kompyuta bapa](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Baslate_7sch_android_tablet_computer.jpg/220px-Baslate_7sch_android_tablet_computer.jpg)
Kompyuta bapa, hufanya kile ambacho kompyuta za kawaida zinafanya, lakini hazina uwezo wa I/O ambao kompyuta za kawaida zinazo.
Kompyuta bapa za kisasa zinafanana na simu za kisasa, tofauti tu ni kuwa kompyuta bapa ni kubwa zaidi kuliko simu za mkononi, na skrini ya inchi 7 na sm 18 kama ikipimwa kwa mshazari.
Tazama pia
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia