Kombe la Mataifa ya Afrika 2023

Kombe la Mataifa ya Afrika 2023 linajulikana kwa kifupi kama AFCON 2023 au CAN 2023 ni msimu wa 34 wa mashindano haya ya mpira wa miguu ya Afrika yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) huko Ivory Coast kwa mara ya pili tangu mwaka 1984.[1][2][3]

Kombe la Mataifa ya Afrika 2023
Coupe d'Afrique des Nations 2023
Tournament details
MwenyejiBendera ya Côte d'Ivoire Ivory Coast
Tarehe13 Januari – 11 Februari 2024
Timu24
Miji ya mashindano(katika miji5 )
Takwimu ya mashindano
Idadi ya mechi51
Mahudhurio1,052,499 (20,637 per match)

Masoko

Wadhamini

Wadhamini wa michuanoWafadhili rasmi AFCON 2023Wafadhili wa Taifa
  • TotalEnergies
  • 1XBET
  • Rexona

  • Celeste
  • Porteo[8]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Kombe la Mataifa ya Afrika 2023 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.