Kodata
Kodata (Chordata) | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Ugwe wa neva wa samaki huyu (Pristella tetra) uonekana kupitia ngozi | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusufaila:':
|
Kodata (kutoka lugha ya kisayansi: Chordata) ni kundi kubwa la wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/da/BranchiostomaLanceolatum_PioM.svg/500px-BranchiostomaLanceolatum_PioM.svg.png)
Ugwe unaunganisha neva ambazo ni muhimu kwa mwili kwa jumla na neva za kila sehemu au kiungo zinatoka hapa. Ugwe wa neva unaenda sambamba na mhimili wa seli ambazo ni imara zaidi ama gegedu au mfupa.
Mhimili huu ni chanzo cha uti wa mgongo kwa wanyama wengi wa kundi hili na kiunzi cha mifupa cha ndani ya mwili.
Kodata waliendelea kutoka kwa wanyama wengine kama Arthropoda wenye kiunzi cha nje.
Katika uainishaji wa kisayansi Kodata ni faila ya wanyama (Animalia). Nusufaila yenye spishi nyingi ni Vertebrata. Hapa mhimili wa kati unaendelea kuwa uti wa mgongo.
Samaki, amfibia, reptilia na mamalia ni oda ndani ya vertebrata.
Picha
- Branchiostoma lanceolatum (Cephalochordata)
- Rhopalaea sp. (Tunicata)
- Mikunga-ute (Hyperotreti)
- Salamanda mabaka-njano (Vertebrata)
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kodata kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Viungo vya nje
- Chordate node at Tree Of Life Archived 24 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- Chordate node at NCBI Taxonomy
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya