Kioroqen
Kioroqen ni lugha ya Kitungusi nchini Uchina inayozungumzwa na Waoroqen. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kioroqen imehesabiwa kuwa watu 1200, lakini wengi wao ni wazee na kulikuwa na wazee kumi na wawili tu ambao wangeweza kuzungumza Kioroqen bila shida. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kioroqen iko katika kundi la Kitungusi ya Kaskazini.
Viungo vya nje
- lugha ya Kioroqen kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kioroqen
- lugha ya Kioroqen katika Glottolog
- lugha ya Kioroqen kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioroqen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia