Kimbundu
Kimbundu ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambundu. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimbundu imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kisichanganywa na Kiumbundu ambacho ni lugha tofauti nchini kulekule. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbundu iko katika kundi la H20.
Viungo vya nje
- lugha ya Kimbundu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbundu Archived 6 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbundu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kmb
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbundu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia