Kimandinka
Kimandinka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Gambia na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wamandinka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimandinka imehesabiwa kuwa watu 669,000 nchini Senegal, 510,000 nchini Gambia, na 167,000 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandinka iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
- lugha ya Kimandinka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimandinka Archived 29 Novemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimandinka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mnk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimandinka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya