Kiekstremadura

Kiextremadura ("estremeñu") ni lugha maalumu ya jimbo la Extremadura nchini Hispania.

Kiextremadura la Kiasturleon

Ni lugha mama kwa watu 200,000 hivi, lakini inazungumzwa na wengine 1,000,000 pia.

Ulinganishaji na lugha nyingine

KilatiniKiitaliaKiromaniaKikatalunyaKihispaniaKirenoKiekstremadura cha KaskaziniKileonKiingereza
altusaltoinaltaltaltoaltoartualtuhigh/tall
propequasiaproapequasicasiquasecuasi, abaticuasialmost
diceredirea zicedirdecir [deˈθir]dizerizil [iˈðil]dicireto say
facerefarea faceferhacer [aˈθer]fazerhazel [haˈðel]facereto do
focusfuocofocfocfuegofogohueufueufire
flammafiammaflamăflamallamachamaflamachamaflame
legereleggerea citillegirleerlerleellliereto read
lingualingualimbăllengualengualíngualuenga/lénguallingualanguage
lumbumlombo(zona) lombarăllomlomolombolombullombuloin
matermadremamămaremadremãemairimaimother
merulamerlomierlămerlamirlomelromielrumielrublackbird
monstraremostraredemonstraremostrarmostrarmostrarmuestralamuesareto show
nosternostronostrunostranuestronossomuestru/nuestrunuesuours
tussistossetusetostostossetossitosecough

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiekstremadura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.