Kibugis
Kibugis ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wabugis kwenye kisiwa cha Sulawesi. Wabugis pia wamehamia visiwa vya Kalimantan, Maluku, Papua na Sumatra. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibugis imehesabiwa kuwa watu milioni tano nchini Indonesia na 17,800 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibugis iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
- lugha ya Kibugis kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibugis Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibugis katika Glottolog
- lugha ya Kibugis kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibugis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia