Kibemba
Kibemba ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wabemba. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibemba imehesabiwa kuwa watu milioni tatu na laki tatu. Pia kuna wasemaji nchi za Botswana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Malawi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibemba iko katika kundi la M40.
Viungo vya nje
- lugha ya Kibemba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibemba Archived 9 Machi 2023 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibemba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bem
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya