Kialur
Kialur ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda inayozungumzwa na Waalur. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kialur nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 750,000, na 2002 kulikuwa na wasemaji 617,000 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialur iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
- lugha ya Kialur kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialur Archived 29 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialur katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/alz
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia