Kialtai-Kaskazini
Kialtai-Kaskazini ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Waaltai. Ni tofauti na lahaja za Kialtai-Kusini. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa lugha hizo mbili za Kialtai imehesabiwa kuwa watu 57,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialtai za Kaskazini iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.
Viungo vya nje
- lugha ya Kialtai za Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialtai za Kaskazini Archived 10 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kialtai za Kaskazini katika Glottolog
- lugha ya Kialtai za Kaskazini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialtai-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia