Kevin Costner

Kevin Michael Costner (amezaliwa 18 Januari 1955) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Kevin Costner

Kevin Costner, mnamo 2016.
AmezaliwaKevin Michael Costner
18 Januari 1955 (1955-01-18) (umri 69)
Lynwood, California, Marekani
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi1978-hadi leo
NdoaCindy Silva (1978-1994)
Christine Baumgartner (2004-2023)
Watoto7

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Costner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.