Karelia
Karelia ni mkoa ulioko nchini Urusi.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/2e/Kizhi_church_1.jpg/280px-Kizhi_church_1.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/31/Map_of_Russia_-_Karelia.svg/300px-Map_of_Russia_-_Karelia.svg.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/69/Flag_of_Karelia.svg/70px-Flag_of_Karelia.svg.png)
Mji mkuu wake ni Petrozavodsk.
Historia
Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongea Kifini. Kwa muda mrefu maeneo yake yaligombaniwa baina ya Urusi na Uswidi.
Tangu mwaka 1721 sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu ya Milki ya Urusi, sehemu nyingine ilibaki upande wa Uswidi ikawa baadaye sehemu ya ufalme mdogo wa Ufini ndani ya milki ya Urusi.
Baada ya uhuru wa Ufini mnamo 1918, Wakarelia walijikuta katika nchi mbili tofauti. Baada ya Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland, sehemu kubwa ya Karelia ya Ufini ilihamishwa upande wa Urusi.
Umoja wa Kisovyeti ilipeleka Warusi na Waukraina wengi Karelia, hivyo asilimia ya watu wanaoendelea kusema Kifini imepungua sana.
Tazama pia
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karelia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya