Kaku

Kaku
Kaku utosi-mwekundu
Kaku utosi-mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni:Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda:Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini:Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu:Cercopithecoidea
Familia:Cercopithecidae
Nusufamilia:Cercopithecinae (Wanyama walio na mnasaba na kima)
Kabila:Papionini (Wanyama walio na mnasaba na nyani)
Ngazi za chini

Jenasi 4 za makaku:

Makaku ni wanyama wa jenasi Cercocebus, Lophocebus, Macaca na Rungwecebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Spishi za kabla ya historia

  • Macaca anderssoni (Pleistocene ya Japani)
  • Macaca jiangchuanensis (Mwanzo wa Holocene ya China)
  • Macaca libyca (Mwisho wa Miocene ya Misri)
  • Macaca majori (Pleistocene ya Sardinia, Italia) – pengine inaainishwa katika M. sylvanus

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.