Joshua Kennedy

Joshua Kennedy (alizaliwa 20 Agosti 1982) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Australia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Australia.

Kennedy ameichezea timu ya taifa ya Australia tangu mwaka wa 2006. Kennedy alicheza Australia katika mechi 36, akifunga mabao 17.[1]

Takwimu

[1]

Timu ya Taifa ya Australia
MwakaMechiMagoli
200631
200710
200864
200971
201061
201178
201200
201352
201410
Jumla3617

Tanbihi

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joshua Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.