John McCain
John Sidney McCain III (29 Agosti, 1936 - 25 Agosti, 2018) alikuwa mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e1/John_McCain_official_portrait_2009.jpg/220px-John_McCain_official_portrait_2009.jpg)
Tangu mwaka 1987 hadi kifo chake alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Arizona. Mwaka wa 2008 aligombea urais lakini akashindwa na Barack Obama.
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John McCain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia