Jina la kuzaliwa

Jina la kuzaliwa (kwa Kiingereza: birth name, full name, legal name au en:Personal name) ni kundi la majina ambalo kwa pamoja linamtambulisha mtu maalumu. Katika tamaduni kadhaa ni majina mawili, katika nyingine ni matatu, ambapo la kwanza ni la mwenyewe, la pili la baba, la tatu la babu au la ukoo[1]. Tamaduni chache zinatumia jina moja tu au zaidi ya tatu.

Kundi la majina lililomtambulisha rais wa Marekani John Fitzgerald Kennedy kama kielelezo cha desturi ya nchi hiyo.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jina la kuzaliwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.