Jimnastiki
Jimnastiki (kutoka Kiingereza: gymnastics) ni mchezo unaohitaji nguvu, uimara na uvumilivu wa misuli.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/61/WalkingWall.jpg/220px-WalkingWall.jpg)
Mchezo huo uligundulika huko Ugiriki, na jina jimnastiki limetokana na neno Gymnos kwa Kigiriki ambalo linamaanisha utupu.
Mchezo huo una faida nyingi sana; baadhi ya faida hizo ni kwamba huimarisha mwili, hudumisha kumbukumbu n.k.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jimnastiki kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia