Jimmy Jam na Terry Lewis


James Samuel "Jimmy Jam" Harris III (amezaliwa mnamo 6 Juni 1959, mjini Minneapolis, Minnesota) na Terry Steven Lewis (amezaliwa mnamo 24 Novemba 1956, mjini Omaha, Nebraska) ni watayarishaji wa muziki wa R&B na pop, na watunzi kutoka nchini Marekani. Wanafahamika zaidi kwa kushirikiana sana na msanii wa kike Bi. Janet Jackson. Watayarishaji hawa, walitamba sana kuna miaka ya 1980 na wamefanyakazi na wasanii kibao.

Jimmy Jam na Terry Lewis
Jina la kuzaliwaJames Harris III na Terry Lewis (kiheshima)
Aina ya muzikiPop
R&B
New Jack Swing
Soul
Kazi yakeKutunga nyimbo
Mwanamuziki
Mtayarishaji
Miaka ya kazi1982–hadi leo
StudioFlyte Tyme
Ame/Wameshirikiana naThe Time
Prince
Janet Jackson
Michael Jackson
The SOS Band
Cherelle
Force M.D.'s
Alexander O'Neal
Mariah Carey
Usher
The Human League
Mary J Blige
New Edition
Barry White
Chaka Khan
Cleopatra ZYC

Historia

Discografia

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Jam na Terry Lewis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.