Jike
Jike ni kiumbe yeyote yule ambaye ana jinsia ya kike. Jike laweza kuwa Simba, Nyani, Sungura, Mbwa, Nyati, Mbweha na kadhalika, ila kwa binadamu huitwa mwanamke.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/66/Venus_symbol.svg/220px-Venus_symbol.svg.png)
Hivyo basi kundi hili la viumbe huchangia kwa kiasi kikubwa sana kuzaliwa na kulea hasa viumbe vichanga kwa kuwanyonyesha na kuwahakikishia mahitaji mengine ya msingi kama vile kuwasafisha na kuwahakikishia ulinzi dhidi ya wanyama walanyama, kwa mfano jike la nyati hujitahidi kumlinda mwanaye wakati wote wawapo mbugani.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jike kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia