Jeanne d'Arc
Jeanne d'Arc (mnamo 1412 – Rouen, 30 Mei 1431) alikuwa msichana Mfaransa anayeheshimiwa kama shujaa wa uhuru wa Ufaransa na mtakatifu wa Kanisa Katoliki.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c3/Joan_of_Arc_miniature_graded.jpg/200px-Joan_of_Arc_miniature_graded.jpg)
Tarehe 18 Aprili 1909 alitangazwa na Papa Pius X kuwa mwenye heri na tarehe16 Mei 1920 Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu.
Maisha
Aliongoza jeshi la Ufaransa katika kipindi kimoja cha Vita vya Miaka 100 dhidi ya Uingereza akawashinda Waingereza na kuhakikisha uhuru na umoja wa Ufaransa.
Baadaye alikamatwa na Waingereza akahukumiwa kuchomwa moto na mahakama ya Wafaransa walioshirikiana na Waingereza kwa tuhuma za kuwa mzushi na mwasi wa Mungu zisizokuwa na msingi wowote.
Tazama pia
Viungo vya nje
![]() | Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia