Ismaïl Aissati

Ismaïl Aissati (alizaliwa 16 Agosti 1988) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uturuki, Denizlispor[1].

Ismail Aissati

Ushiriki Katika Klabu

PSVIsmaïl Alizaliwa Utrecht kwa wazazi wa Moroko, Aissati alianza kucheza soka akiwa na umri mdogo akiwa amejiunga na klabu ya DSO Utrecht na USV Elinkwijk kabla ya kujiunga na klabu ya PSV Eindhoven mwaka wa 2000 alipokuwa na umri wa miaka kumi na mbili baada ya kuchunguzwa kushuka kitaaluma kwa klabu hyo mwaka wa 2005.[2]

Aissati katika mafunzo na klabu ya PSV mnamo 2008.

Ushiriki Kimataifa

Awali Aissanti aliwakilisha ligi ya Uholanzi U15, Uholanzi U16 na Uholanzi U17. Alikuwa sehemu ya timu iliyoshinda Mashindano ya Soka ya UEFA ya Vijana ya U-21 ya 2006. [3]

Heshima

PSV[4]

  • Eredivisie: 2005–06, 2007–08

Ajax

  • Eredivisie: 2011–12
  • Kombe la KNVB: 2009–10

Marejeo

Viungo Vya Nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ismaïl Aissati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.