Ilya Mechnikov
Ilya Ilich Mechnikov (16 Mei 1845 – 16 Julai 1916) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Urusi. Tangu mwaka wa 1888 alifanya kazi Ufaransa ambapo jina lake liliandikwa Elie Metchnikoff. Hasa alichunguza mfumo wa kingamaradhi wa wanyama. Mwaka wa 1908, pamoja na Paul Ehrlich alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ilya Mechnikov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia