Ike Diogu
Ikechukwu Somtochukwu Diogu (alizaliwa Septemba 11, 1983) ni mchezaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria na mtaalamu wa mchezo wa kikapu basketball akichezea timu ya Shimane Susanoo Magic ya ligi B.
Familia na maisha ya Awali
Wazazi wa Diogu ni Wanigeria, waliohamia nchini Marekani mwaka 1980 kwa ajili ya masuala ya kielimu. Baadae walihamia katika mji wa Buffalo, New York, na kisha mji aliozaliwa wa Garland, Texas. Ike alihudhuria Austin Academy, na kisha kuandikishwa katika shule ya upili ya Garland High School.
Tanbihi
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ike Diogu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia