Ibadan
Ibadan (kwa Kiyoruba Ìbàdàn, kirefu (Ìlú) Ẹ̀bá-Ọ̀dàn, (mji kwenye) ombwe la mbuga) ni mji mkubwa wa tatu wa Nigeria wenye wakazi 3,800,000 (kadirio 2007) na wengi wao ni Wayoruba. Ni mji mkuu wa jimbo la Oyo.
Uko katika Nigeria ya kusini-magharibi, takriban kilometa 125 kutoka Lagos.
Kihistoria ulikuwa kitovu cha Nigeria yote ya magharibi ikiwa makao makuu ya jimbo la magharibi baada ya uhuru wa nchi.
Mji ulianzishwa mwaka 1829 kama makao makuu ya wafalme wa Wayoruba.
Watu wa Ibadan
- Mwimbaji Sade ambaya sasa amekuwa Mwingereza alizaliwa huku tarehe 16 Januari 1959).
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ibadan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia