Huneriki
Huneriki (alifariki 23 Desemba 484) alikuwa mtoto wa kwanza wa Genseriki, mfalme wa Wavandali na Waalani kwa karibu miaka 50 (428–477) ambaye aliinua makabila haya madogo kuwa ufalme imara katika Afrika Kaskazini uliotikisa Dola la Roma Magharibi katika karne ya 5 hata kuteka jiji hilo kwa muda mnamo Juni 455.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fd/Huneric_BMC_012_%28cropped%29.jpg/220px-Huneric_BMC_012_%28cropped%29.jpg)
Huneriki hakuendeleza mipango mikubwa ya baba yake lakini, baada ya muda[1][2], alizidi kudhulumu kikatili Wakatoliki wa Afrika Kaskazini[3] hivi kwamba Waarabu Waislamu walipoiteka Ukristo ulikoma haraka.
Tanbihi
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Huneriki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia