Hifadhi ya Taifa ya Nouabalé-Ndoki

Hifadhi ya Taifa ya Nouabalé-Ndoki ni mbuga ya taifa katika Jamhuri ya Kongo . Ilianzishwa mwaka1993, katika mikoa ya kaskazini mwa Kongo, ni makazi kwa tembo wa misituni, nyani wakubwa, ikiwa ni pamoja na sokwe wa nyanda za magharibi.

Tembo wa msituni katika Mbeli Bai, Hifadhi ya Kitaifa ya Nouabalé-Ndoki
Tembo wa msituni katika Mbeli Bai, Hifadhi ya Kitaifa ya Nouabalé-Ndoki

Hifadhi ina aina nyingi za viumbe hai 300 za ndege, pamoja na aina 1,000 za mimea na miti ambayo ni pamoja na mahogani walio hatarini kutoweka. [1] [2] [3]

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Nouabalé-Ndoki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.