Henry Morton Stanley
Sir Henry Morton Stanley (28 Januari 1841 - 10 Mei 1904) alikuwa mwandishi wa habari kutoka Welisi. Jina lake la kuzaliwa ni John Rowlands. Mwaka wa 1859 alihamia Marekani. Hasa anajulikana kwa safari zake kwenda Afrika, baadhi yao moja kwa ajili ya kumtafuta na kumgundua David Livingstone na nyingine kwa ajili ya kumsaidia Emin Pasha. Mwaka wa 1899 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
Sir Henry Morton Stanley | |
![]() | |
Amezaliwa | John Rowlands 28 Januari 1841 Wales, Uingereza |
---|---|
Amekufa | 10 Mei 1904 London, Uingereza |
Nchi | TANZANIA |
![]() | Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry Morton Stanley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia