Henri Fayol
Henri Fayol (Istanbul, 29 Julai 1841 – Paris, 19 Novemba 1925) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Ufaransa. Amejulikana hasa kwa kueleza nadharia ya utawala wa uchumi. Aliandika kuhusu nadharia hiyo katika kitabu chake cha "Administration Industrielle et Générale" kilichochapishwa mwaka wa 1916.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/46/Fonds_henri_fayol.jpg/220px-Fonds_henri_fayol.jpg)
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henri Fayol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya