Heal the World

"Heal the World" ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake kali ya Dangerous, iliyotolewa mnamo mwaka wa 1991. muziki wa video wa wimbo huu unaonyesha watoto wadogo wanaoshi katika maisha magumu na ya tabu - hasa yale yasiyopumzika katika hali ya kivita. Na ni video pekee ambayo Michael Jackson hakuonekana yeye mwenyewe, nyingine yake ni "Cry", "HIStory" na "Man in the Mirror". (Vipande vya kwenye wimbo wa "HIStory" na "Man in the Mirror" imemwonyesha Michael Jackson kidogo sana hasa kama kwenye kihifadhio). Video pia unamaarufu kwa kuonekana kwa 50 Cent wakati yuko bwana mdogo [1].

“Heal the World”
“Heal the World” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
ImetolewaNovemba, 1992
MuundoCD single
Imerekodiwa1991
AinaR&B, Soul
Urefu6:25
StudioEpic Records
MtunziMichael Jackson
MtayarishajiMichael Jackson
David Foster
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Who Is It"
(1992)
"Give In to Me"
(1993)

Ilivyopokelewa

Wimbo umefika nafasi ya #2 katika chati za UK Singles Chart kunako mwezi wa Desemba 1992, imewekwa kando kutoka nafasi ya #1 na wimbo wa Whitney Houston wa I Will Always Love You". Wimbo huu haukufanya vizuri kabisa kabisa katika Marekani, na ulifikia nafasi ya #27 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kuufanya uwe wimbo wake wa pili kutofikia hata Ishirini Bora.

Orodha ya Nyimbo

Toleo Halisi

  1. "Heal the World" (7" edit) – 4:31
  2. "Heal the World" (Album version) – 6:25
  3. "She Drives Me Wild" – 3:41
  4. "Man in the Mirror" – 4:55

Visionary Single

CD side
  1. "Heal the World" (7" edit)
  2. "Will You Be There"
DVD Side
  1. "Heal the World" (Music video)

Mamixi Yake

  1. Album version – 6:25
  2. 7" edit w/intro
  3. 7" edit
  4. Spoken

Chatis

Chati (1992/1993)Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart20
Austrian Singles Chart4
Canadian Singles Chart9
Dutch Singles Chart4
Eurochart Hot 100 Singles2
French Singles Chart2
German Singles Chart3
Irish Singles Chart2
Israeli Singles Chart2
New Zealand RIANZ Singles Chart3
Norwegian Singles Chart3
Spanish Singles Chart1
Swedish Singles Chart15
Swiss Singles Chart5[2]
UK Singles Chart2
US Billboard Hot 10027
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks62
US Billboard Hot Adult Contemporary Tracks9
Chati (2006)Nafasi
Iliyoshika
Dutch Singles Chart40
French Singles Chart60
Spanish Singles Chart1
Italian Singles Chart13
Chati (2009)Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart26
Austrian Singles Chart22
Danish Singles Chart7
Dutch Singles Chart46
German Singles Chart18
Irish Singles Chart22
New Zealand Singles Chart19
Norwegian Singles Chart3
Swedish Singles Chart18
Swiss Singles Chart9[2]
UK Singles Chart44[3]

Matunukio

NchiMatunukioMauzo
UjerumaniDhahabu[4]250,000
New ZealandGold[5]7,500[6]

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heal the World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.