Gustav Adolf
Gustav Adolf alikuwa askari wa Swideni na mjumbe wa serikali. Alichaguliwa mjumbe Mkuu mwaka wa 1645, Mshauri Mkuu katika 1650, Mkuu mwaka 1651, Field Marshal mwaka wa 1655 na Gavana Mkuu wa Riga mwaka wa 1656.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d6/Gustaf_Adolf_Lewenhaupt_1650.jpg/220px-Gustaf_Adolf_Lewenhaupt_1650.jpg)
Katika vita vya miaka thelathini (1618-1648) aliwaagiza askari kwenye vita vya Breitenfeld (vita vya kwanza vya Leipzig), mwaka wa 1642.
![]() | Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gustav Adolf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya