Grand Theft Auto: Vice City Stories
Grand Theft Auto: Vice City Stories ni mchezo uliotengenezwa kwa kushirikiana kati ya Rockstar Leeds na Rockstar North, na kuchapishwa na Michezo ya Rockstar. Mchezo huu ulitolewa tarehe 31 Oktoba 2006 kwa ajili ya PlayStation Portable na baadaye tarehe 5 Machi 2007 kwa ajili ya PlayStation 2.
Grand Theft Auto: Vice City Stories ni mchezo wa awamu ya kumi katika mfululizo wa Grand Theft Auto na ya sita kwenye ulimwengu wa 3D.
Ni hakikisho la Grand Theft Auto: Vice City. Vice City ni uwakilishi wa Miami, Florida.
Viungo vya nje
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fa/Wikiquote-logo.svg/50px-Wikiquote-logo.svg.png)
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto: Vice City Stories kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia