Golden Globe

Golden Globe Awards au 'Tuzo za Golden Globe ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka na Hollywood Foreign Press Association (HFPA) kwa kutambulisha kazi zilizofanya vizuri katika kipindi cha mwaka mzima hasa katika suala zima la burudani, iwe nchini Marekani na nchi za kigeni, na kuchukua mawazo zaidi ya watu hasa katika kuelezea kipi kilifanywa vizuri katika filamu na vipindi vya televisheni. Kipindi hiki hutaka kufanana kabisa na kile cha Academy Awards.[1]

Golden Globe

Alama za Tuzo ya Golden Globe
Hutolewa kwa ajili yaUbora katika filamu televisheni
Hutolewa naHFPA
NchiMarekani
Imeanza kutolewa mnamo1944
Tovuti rasmi

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Golden Globe kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.