Give In to Me

(Elekezwa kutoka Give in to Me)

"Give In to Me" ni jina la kutaja wimbo wa kumi wa mwanamuziki Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu ulishika nafasi ya #1 nchini New Zealand kwa majuma manne, na namba #2 kwenye chati za UK Singles Chart. Wimbo huu haujatolewa kule Amerika ya Kaskazini wala huko Asia.

“Give In to Me”
“Give In to Me” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
ImetolewaFebruari 1993
MuundoCD single
Imerekodiwa1991
AinaHard rock[1]
Urefu5:28
StudioEpic Records
MtunziMichael Jackson
MtayarishajiMichael Jackson
Bill Bottrell
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Heal the World"
(1992)
"Give In to Me"
(1993)
"Will You Be There"
(1993)

Muziki wa Video

Muziki wa video wa "Give In to Me" unamwonyesha Michael Jackson akiimba kwenye ukumbi na moja ya wanachama wa zamani wa bendi ya Guns N' Roses. Wanachama hao ni pamoja na Slash, Gilby Clarke na mpigaji kinanda wa Guns N' Roses Teddy Andreadis wakiwa ndani ya konseti la ndani la rock. Kwa mujibu wa Jackson mwenyewe - pale alipohojiwa na Oprah - ilikuwa imetoka kupigwa video yake masaa mawili nyuma kule nchini Ujerumani. Ile mimwanga-mwanga inayoonekana kwa nyuma kwenye video ni maujanja ya kompyuta tu na yamekuja kuwekwa hapo baadaye.

Chati

Chati (1993)Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart4
Austrian Singles Chart12
Dutch Singles Chart3
Eurochart Hot 100 Singles3
French Singles Chart7
Irish Singles Chart2
Israeli Singles Chart2
New Zealand Singles Chart1
Norwegian Singles Chart7
Swedish Singles Chart15
Swiss Singles Chart7[2]
UK Singles Chart2
Chati (2009)Nafasi
Iliyoshika
Swiss Singles Chart35[2]
UK Singles Chart74

Orodha ya Nyimbo

  1. "Give In to Me" – 5:26
  2. "Dirty Diana" – 4:52
  3. "Beat It" – 4:17

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Give In to Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.