Gigawati
Gigawati ni kizio cha nguvu kinacholingana na wati bilioni moja (wati 109).
Kizio hiki hutumika kutaja uwezo wa vituo vikubwa vya kuzalisha umeme au tabia ya mtandao wa umeme kieneo. Kwa mfano kituo kikubwa cha nyuklia nchini Ubelgiji huwa na uwezo wa kutoa gigawati 1.04. Ethiopia ina vituo vya umeme vinavyoweza kuzalisha gigawati 4.5[1].
Mahitaji ya Tanzania yamekadiriwa kuwa masaa ya gigawati 6.3 kwenye mwaka 2015, na 12-13 kwenye mwaka 2020[2].
Kwa upande wa matumizi, gigawati ni kizio kwa mahitaji ya nchi ndogo yenye mtandao mzuri wa umeme, au nchi kubwa ambako bado wananchi wengi hawana umeme kwenye nyumba, viwanda si vingi, au katika mikoa ya nchi ya viwandani.
Marejeo
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gigawati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMikoa ya TanzaniaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweMtumiaji:MsafiriOrodha ya Marais wa MarekaniTanzaniaMadawa ya kulevyaMpira wa miguuKumaHaki za watotoSimba S.C.Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliTendo la ndoaLawrence Kego MashaHistoria ya TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoDonald TrumpMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaLilithUkimwiOrodha ya vitabu vya BibliaDiamond PlatnumzVichekeshoJean BalekeUsafi wa mazingiraVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiMazingiraBendera ya Kenya