Gabriel Batistuta

mchezaji wa mpira wa Argentina

Gabriel Omar Batistuta (alizaliwa 1 Februari 1969) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina maarufu kama Batigol[1].

Ni kati ya wachezaji bora wa nyakati zote, hasa kutokana na shuti zake kutoka mbali.[2][3]

Tanbihi

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Batistuta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.