Frutuoso wa Braga

Frutuoso wa Braga (alifariki Braga, Ureno, 16 Aprili 665[1]) alikuwa mkaapweke wa Hispania, halafu abati[2], askofu wa Dumio na hatimaye askofu mkuu wa Braga[3] aliyeanzisha na kuzipa kanuni zake monasteri mbalimbali alizoendelea kuziongoza hata baada ya kupewa uaskofu [2][4].

Sanamu ya Mt. Frutuoso.

Alizoea kuvaa kifukara kiasi kwamba alidhaniwa ni mtumwa, hata kupigwa bila sababu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Aprili[6].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Thompson, E.A. The Goths in Spain. Clarendon Press: Oxford, 1969.
  • Iberian Fathers. Writings of Braulio of Saragossa, Fructuosus of Braga, translated by Claude W. Barlow Catholic University of America Press (1969).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.