Fizikia ya nyuklia
Fizikia ya nyuklia ni sehemu ya fizikia ambayo inahusu kiini cha atomu. Kila kitu duniani kimeundwa na atomu, iliyo sehemu ndogo zaidi ya kipengele cha kemikali ambayo bado ina sifa ya kipengele hicho maalumu. Wakati atomu mbili au zaidi zinapoungana zinaunda molekyuli ambayo ni sehemu ndogo ya kampaundi ya kemikali ambayo bado ina sifa za kampaundi maalum. Kuelewa muundo wa atomu ni ufunguo wa masomo kama fizikia, kemia, biolojia n.k.
![Atomu](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/8/8b/ScientificLinux-Logo.gif)
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fizikia ya nyuklia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia