Finano wa Lindisfarne
- Makala
- Majadiliano
Finano wa Lindisfarne (alifariki Februari 661) alikuwa mmonaki kutoka Ireland huko monasteri ya kisiwa cha Iona, Uskoti, halafu askofu wa pili wa Lindisfarne, Uingereza, kuanzia mwaka 651 hadi kifo chake.
Alikuwa maarufu kwa ujuzi wake na kwa juhudi za uinjilishaji, kama tunavyosoma hasa katika maandishi ya Beda Mheshimiwa.
Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 17 Februari[1].
![]() | Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |