Farah Khan

Farah Khan Kunder (amezaliwa tar. 9 Januari 1965)[1] ni mwongozaji wa filamu na mwanakoregrafia kutoka nchini India. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za kikoregrafia katika filamu kadha wa kadha za Bollywood. Khan amefanya kazi za koregrafia kwenye zaidi ya nyimbo mia moja katika filamu za Kihindi zaidi ya 80. Khan tangu hapo ameanza kutambulika kama mwongozaji wa filamu za Kihindi vilevile. Kwa namna nyingine, Khan amefanyakazi hata miradi ya kimataifa ikiwa ni pamoja na Marigold: An Adventure in India, Monsoon Wedding na filamu ya Kihindi ya Perhaps Love.

Farah Khan

Farah Khan at the 4PS Advertising & Marketing Award
AmezaliwaFarah Khan
9 Januari 1965 (1965-01-09) (umri 59)
India
Kazi yakeMwanakoreografia, Mwongozaji wa filamu, Mtangazaji wa TV
NdoaShirish Kunder (2004-hadi sasa)
WatotoCzar, Diva, Anya

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farah Khan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.