Emiliano Rigoni
Emiliano Ariel Rigoni (alizaliwa tarehe 4 Februari mwaka 1993) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza katika klabu ya FC Zenit Saint Petersburg.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/7c/Emiliano_Rigoni_2019.jpg/220px-Emiliano_Rigoni_2019.jpg)
Independiente
Mnamo mwezi Januari mwaka 2016, alijiunga na Independiente akafunga bao lake la kwanza kwa Independiente dhidi ya klabu yake ya zamani ya Belgrano.
FC Zenit Saint Petersburg
Tarehe 23 Agosti 2017, Rigoni alihamia Urusi, akiisaini mkataba wa miaka 4 na FC Zenit Saint Petersburg.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emiliano Rigoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia